BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Ooh mbona unataka kuniwangia bana, kwani nani alikwambia kama wavuvi huwa wanaoa~sisi wavuvi tuna msemo watu bana, unasema "We are not a one woman men". He he he!.
Yes c unajua tena determination worksKaza buti Truli utampata humuhumu tushaona mafanikio ya mmoja kasema amepata na wewe fata nyuma. Ooops kumbe sio wewe mwambie shoga hata ukiwa wewe hamna noma
Haya bwana nimekuvulia kofia na huo msemo..pole pole tu mana wavuvi mnavua samaki wa kila aina changu,sato,perege nk..sasa huyu dada anatafuta husband naona kakupata na hivi wewe ni husband wa mtu!!!
Gaga ule mpango wetu vipi
Niko hapa sitting room waiting for your arrivalSi tumeshapanga kwenye pm na wewe TF? acha wazi mlango ukisikia tuuuuu juu ya bati ujue ni mimi
Niko hapa sitting room waiting for your arrival
naomba nipunguzie japo mwaka mmoja naona kama vigezo vingine nakidhi vile!!!!!!!
...BJ mnh, kumbe mtaalamu wa majina ya samaki wewe, ...anyway, mvuvi mahiri ni yule atayebahatika mvua Nguva.
Duh! tatizo moja tuu nina kitambi na kipara, naweza kufikiriwa au ndo tayari OUT???
Shosti mi sijasema walioolewa watoke kwenye ndoa, nasema kama hujampata wa kukuoa usilazimishie. na usinielewe vibaya, siwanangi wasioolewa, kwani mimi pia nisingeolewa tungekuwa kwenye chungu kimoja.
Dada yangu nilikuwa nafahamu nyendo zake, enzi zile wakati hakuna mitandao kama sasa, na aliolewa na mtu aliyekuwa hakai maeneo ya pale kwetu... tena alifanya kubebewa bango amkubali maana alisema hamwamini sababu hajamfahamu muda mrefu. Tunamshukuru Mungu wanaishi kwa raha mustarehe
...BJ mnh, kumbe mtaalamu wa majina ya samaki wewe, ...anyway, mvuvi mahiri ni yule atayebahatika mvua Nguva.