mchapa kazi
New Member
- Apr 15, 2011
- 3
- 0
tupe jinsia yako kwanzamkuu na chuo gani umemalizaqmmmh thanx bro ! ila huko Nachingwea sitoweza kwenda ki ukweli sitaki kukaa mikoa ya mbali kwa sasa.
tupe jinsia yako kwanzamkuu na chuo gani umemalizaq
mimi ni mwanamke na nimlimaliza St. Augustine University of Tanzania in Mwanza Region
mimi ni mwanamke na nimlimaliza St. Augustine University of Tanzania in Mwanza Region
Unaonaje ukunitafuta nikupe Orientation course kidogo ili kuimprove perfomance yako
kakuambia kuwa perfomance yake ipo low?
Mwache ajibu mwenyewe bwana
Wewe unataka kumlaghai huyu binti, na si ajabu ushampigia simu tayari, sio fresh
kama una weza kumsaidia kupata kazi ni vizuri hta Mungu anakupa neema na baraka zake