Looking for a man for a serious relationship that will lead to marriage

am at Dar es salaam, kama wewe tunaweza fikia malengo ndani ya mwaka huu kama huto jali Nina kid mmoja ninaye ishi nae kids watatu wakokwa mama zao Kila mmoja na mama yake.

Kama unanifikiria nitaarifu jinsi ya kupima hiyo 5.8 nisije kukukosa.
 
Thank you but not more than 1 kid๐Ÿ‘
 
Sasa sisi wa
Futi 5. 7.5 inakuaje[emoji16][emoji16][emoji16]
 
A man am looking he should:
  • Education level - Degree and above (employed or an enterpreneur)
  • Height - He must be tall 5.8 feet and above.
Ukishakaa kwenye ndoa miaka 5, 10.... ukaona madhila, mabalaa, mazuri, matamu, maruhani, mabalaa na malaana ya mume na mke, halafu ukarudi kuchungulia tangazo hili ulilosema unatafuta mtu mwenye urefu wa 5 point 8 feet utajiona kumbe ulikuwa mjinga, mtoto mdogo hujui chochote maishani....

Mimi nilikuwa natafuta matako, sura, elimu... miaka 10 baadae nimegundua kumbe bora ningeomba wazazi wanitafutie...... aiseeee........
 
I pray that you receive your man/husband in Jesus' name!
 
Oh ushauri wako ni upi sasa mkuu,Niombe pia wazazi wanitafutie? Zama hizi
 
Ha ha unakuta anataka mwanaume mwenye mtoto mmoja afu yeye kashachoropoa kama 6 hivi, kwa huo umri tafuta waume za watu tuu...sikukatishi tamaa ila mpaka umekuja huku mtaani umekosa, yani huna hata boyfriend anayejielewa ukamset muishi...au unaye unataka umuingize kingi kijana wa watu huku muwe kwenye multiple relationships?
 
Nashukuru kwa conclusion na maswali, usiku mwema
 
Swala la kusoma aisee limeshika kasi kwenye mapenzi ya jf.
Pesa tena kuwa mtafutaji ili uwe na maisha mazuri mabinti hawataki. Wanataka uwe na degree๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Acha tusome aisee. Hizi hela si kitu.elimu ya utu uzima.
 
Hapana si kwa maana hiyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ