Looking for a man for a serious relationship that will lead to marriage

Huo umri mkubwa umechukulia kwa vile umri huo ni watu wazima hawanaga mambo mengi...Ila nakuhakishia kuna vijana miaka 25 wametulia nu very smart .

Kikubwa tafuta mtu kamaliza utoto wote na ana akili za kikubwa zaidi.
Ahsante kwa ushauri, ntaufanyia kazi
 
Thank you for taking your precious time to write down all this..πŸ‘
 
Kiingereza chote hauna hata mtoto. Ww kamwe hautoolewa hakuna ndoa JF ama FB. Nenda Sudan ya kusini utawapata warefu.
 
Jua likiendelea kuzama hicho kigezo cha urefu utakitoa tu
 
Mbona hujasema rangi yako? Wengine tunachgua Kuanzia, sura, rangi mpaka chura...

Ila bahati mimi sina vigezo. Niliishia darasa la 7B shule ya msingi Mtakuja.
 
Bienvenue.

Mais... qu'as-tu Γ  offrir?

-Kaveli-
 
Mbona hujasema rangi yako? Wengine tunachgua Kuanzia, sura, rangi mpaka chura...

Ila bahati mimi sina vigezo. Niliishia darasa la 7B shule ya msingi Mtakuja.
Ahsante ntaedit na kujazia hizo sifa zingine
 
Ahsante ntaedit na kujazia hizo sifa zingine
Usisahau kutuonea huruma na sisi wemye vyeti vya VETA lakini tunamiliki viwanda vidogo.

Digrii tulikosa mkopo na wazazi wetu hawakuwa na hela..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…