Looking for a man for a serious relationship that will lead to marriage

kmmye, unatongoza kijanja sana
 
Unataka mtu ajipime urefu? Urefu height ina manufaa gani kwenye ndoa?.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa wote ni wataka mbususu tu jichanganye uone, shauri yako ohooo !
 
Wewe unavyotaka mtu mwenye big bum inakusaodia chochote? Nadhani kila mtu ana vitu anavyovipenda na ibaki hivyo na tuheshimu hilo.

Bums kubwa husaidia Ajali zisiwe nyingi mkuu huko road [emoji23][emoji23][emoji23], sijui kama umenielewa !

Kila la Heri mrembo, Warefu wote mostly huwa ni warembo haswa akiwa black Tii
 
Short guys are out. You did not mention about your beauty.
Picture please.
 
Bums kubwa husaidia Ajali zisiwe nyingi mkuu huko road [emoji23][emoji23][emoji23], sijui kama umenielewa !

Kila la Heri mrembo, Warefu wote mostly huwa ni warembo haswa akiwa black Tii
Ahsante yes am black tii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…