Graduate BA majored Economics
Nimepitia mafunzo ya ualimu.
Uzoefu kufundisha Economics, Geography (1&2) na GS miaka 10.
Kwasasa nashughuli binafsi (usaidizi na ushauri miradi na uandishi miradi) HIVYO napendelea na ni mhimu nikaendelea kufundisha pia SHULE yenye A level masomo hayo..au pia vyuo vya kati vitoavyo certificates yenye mlengo wa masomo related na BA yangu.
Napatikana Dsm, na wakati wowote nipo tayari kwa assignment hizo.
Pia popote panapohitaji uandishi wa maandiko kadhaa wa kadha ya kibiashara na miradi, au kufanya upembuzi yakinifu au case studies naomba connection.
Available; 0652656565