N Nwaigwe JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 1,053 Reaction score 914 Oct 4, 2009 #1 Natafuta mtu ambaye yuko tayari kushirikiana naye kwenye consultancy firm yangu ambayo natarajia kuianzisha soon nikisharudi nyumbani. Vigezo awe amefanya economics au sociology na ni mtatifi mzuri.Tunaweza wasiliana kwenye private mail.
Natafuta mtu ambaye yuko tayari kushirikiana naye kwenye consultancy firm yangu ambayo natarajia kuianzisha soon nikisharudi nyumbani. Vigezo awe amefanya economics au sociology na ni mtatifi mzuri.Tunaweza wasiliana kwenye private mail.