Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahitaji bussiness partner au investor hivyo viwili vinatofouti ili tujue gross capital inayo hitajikaLooking for serious investor in order to register Construction company
Looking for serious investor in order to register Construction company
Kuwa serious mkuu tuambie expirience yako kwenye industry alafu utupe,backup na financial details alafu kitu kingine hata investor angekua mjomba huwezi muandikia hivyo jipangeLooking for serious investor in order to register Construction company
[emoji23][emoji23][emoji23]maelezo mafupi sana....ujue ukitaka kitu inabidi utoe details za kutosha ili watu wasijiulize maswali mengiKwa mistari hiyo miwili ndo unataka investors kweli kabisa?
Watu wana makabrasha na mabox ya details wewe unaandika mistari miwili?
Mkuu yaani wabongo kwakweli hatupo serious kabisa 🤣[emoji23][emoji23][emoji23]maelezo mafupi sana....ujue ukitaka kitu inabidi utoe details za kutosha ili watu wasijiulize maswali mengi