Boniphace17
Senior Member
- Jul 19, 2012
- 118
- 42
Door to door campaign English Medium/International Schools za Dar es Salaam. Walimu wengi wana tabia ya kukimbia mwisho wa mwaka (July/August). Visit the schools personally to drop off your CV. You might get lucky.
By the way shule nyingi haziwezi ku-afford viwango vipya vya visa/work permit. Uhamiaji wasipolegeza kamba kutakuwa na mass exodus ya walimu wageni shule nyingi. Peleka CV mapema. Tatizo ni kuwa vijana wengi wanaziogopa shule hizi za English Medium. True international ni chache sana na hata hivyo pia wameajiri walimu wengi wabongo km ist,ism,DIA. Zingine ni local schools with international curriculum streams.