Mkuu Samcezar
Pesa hipo kama kiasi cha 30mil
Ni suala la kukubaliana na Partner juu/aina ya biashara na contributions.
Asante.
Mimi niko interested but sina mtaji wa kuanzisha hiyo biasharaHabari wana bodi.
Nimekuwa interested sana na biashara ya hardware pamoja na biashara ya workshop.
(a) Workshop
Workshop inaweza kuwa ya woodworks, Aluminium works, PVC works and Welding.
(b) Hardware
Kwa ajili ya kuuza building materials na mbao.
Why partnership?
Ili kuweza kuwa na mtaji mkubwa na kuweza kupunguza individual risks.
Mawazo yangu ni kuanza biashara ikiwa mpya kabisa.
Nakaribisha mawazo. Mimi nipo Dar.
Asante