Looking for Cashier

shbchichi

Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
9
Reaction score
4
Natafuta cashier katika duka langu la jumla la vinywaji na Luku lililopo Ubungo river side.
muda wa kazi ni: tano asubuhi mpaka saa mbili jioni.
kigezo cha chini Muhitimu a form four tafadhali tuma maombi kwa shmapunda@yahoo.com yakiwa na namba ya simu na matarajio ya mshahara

I am looking for a cashier to My Drinks wholesale and LUKU shop at Mabibo/River side.
  • working hours are between 11am to 8 pm monday to saturday.
lowest qualification Form four leaver.
Please send application to shmapunda@yahoo.com with your day time phone number and salary expectations.
 
ngoja nijaribu bahat yangu maana nyumbani panachosha
 
Umeelewa mkuu mshahara tsh ngapi???
 
Umeelewa mkuu mshahara tsh ngapi???

Mkuu you will be in violation of the statutory 45 hours per week that one must work. Your working hours total 54. Will you therefore pay overtime or will the employee be entitled to days off?
 
Yupo aliyeishia form three lakini anauzoefu na hiyo kazi,kama uko serious ni PM nikuonganishe naye ni mdada yuko zenj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…