As far as i know chuo kama hiki unacho taka bado hakijagwa hapa tanzania....ila nachofahamu kuna course zainatolewa na baadhi ya vyuo kama learn IT,IIT,NewHorizon etc ambao wako wazuri kwenye practical na unaweza soma uku unafanya kazi....Ila sijui kama wana mtaala wa mpaka degree....achilia mbali zile degree shirikishi ambazo wanakuwa na vyuo vingine marekani na ulaya..so naona kama wewe unataka chuo chako na cheti unacho taka wewe....na kiwe na specification zako....