Immortal Techniques
JF-Expert Member
- Aug 9, 2023
- 373
- 557
820,000/MTUnauzaje kwa tani?
Ok, huku kwetu hayapo hayo mashudu ya pamba ila sunflower cakes tani ni 300,000. Ntakutafuta820,000/MT
Niko na oil mill Kwa hiyo mzigo upo mwingi hata Tani 200 unapataunazo tani ngapi
Nipo kaka huru kuulizaUko kwenye hiyo industry ya pamba maana niko na swali nje mada natafuta mtu anayefanya hii biashara ya pamba
Ntafuta mtu aliyekuwa kwenye hii industry au anayejua wapi naweza pata nyuzi zakushonea kwa ujumla au kwa wingiNipo kaka huru kuuliza
Unapatikana wapi mkuu, bei bado ni hyo mpaka leo?Ok, huku kwetu hayapo hayo mashudu ya pamba ila sunflower cakes tani ni 300,000. Ntakutafuta
Nipm.namba yakoHabarini za wakati huu,
Natafuta Wateja/ masoko ya Mashudu ya pamba -anayehitaji aje pm au mwenye connection pia anipe Niko Mwanza.
Ok 👍Nipm.namba yako
Niko Mwanza,ni pmUnapatikana wapi mkuu, bei bado ni hyo mpaka leo?