Obe JF-Expert Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,083 Reaction score 34,850 Feb 21, 2011 #21 Kweli hapa ni ma great thinkers, Sherrif umefanya vema. Lakini, vipi kama ndo nimeamaliza chuo na nimesomea HR cv/resume yangu ikae vipi? ukiona vema unaweza kuni PM, nitafurahi sana kwani bado nipo jalalani
Kweli hapa ni ma great thinkers, Sherrif umefanya vema. Lakini, vipi kama ndo nimeamaliza chuo na nimesomea HR cv/resume yangu ikae vipi? ukiona vema unaweza kuni PM, nitafurahi sana kwani bado nipo jalalani