Looking for husband

Looking for husband

je? mshahara wako kwa mwezi ni sh ngap?
 
Ila umri unanikosesha fursa.

Basi naomba tuwe marafiki
 
Mileage inasoma ngapi? Miaka 32 kwa mwanamke ni mzee tayari isijekuwa wahuni washaisosomola asali yote yamebaki masega tu.
 
Kama kweli unapenda kuolewa na Husband material, basi nitafute PM. Ila nina watoto kadhaa. Na wewe mwenzangu unao wangapi?

Muhimu tu uwe mzuri wa sura, umbo na tabia! na pia uwe Mkatoliki.
 
Back
Top Bottom