Looking for job opportunity

Graca

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
471
Reaction score
152
Wakubwa naombeni msaada wenu mi nna degree na nna experience ya miaka miwili kama loan officer,naomba mwenye kuweza kunisaidia jinsi ya kupata kazi. shukrani.
 
kukusaidia kivipi hebu funguka?
 
Nahitaji kazi ndugu yangu.

unataka kupewa kazi, za kutafuta umekosa sio?
haya ngoja wenye kazi za kugawa hapa waje watakupatia!
Hivi degree yako ulipewa au ulipambana mpaka ukaipata?
 
unataka kupewa kazi, za kutafuta umekosa sio?
Haya ngoja wenye kazi za kugawa hapa waje watakupatia!
Hivi degree yako ulipewa au ulipambana mpaka ukaipata?

niliipata kwa juhudi zangu mwenyewe sema tu mfumo mbovu wa ajira.
 
niliipata kwa juhudi zangu mwenyewe sema tu mfumo mbovu wa ajira.
ukiwa na mawazo ya juhudi kama ulivyojibu hapo juu basi nakwambia utafanikiwa, ila ukiwa na mawazo ya kupewa ni dhahiri hutatumia juhudi kupata unachotaka. ni bora uwe na juhudi na ikitokea ya kupewa sawa ispotokea juhudi zako zitakutoa kwenye huo utumwa wa mawazo
just "food for thought"
 
shukrani mkuu,juhudi ninayo sana,ila tu bado sijabahatika. sasa inafikia kipindi mtu unakuwa desperate.
 
Achana na mawazo ya kuajiriwa sana sbb ndo mwanzo wa kulemazwa kimawazo na kutumikishwa katika kutika kutimiza ndoto za mwingine. Njoo nikuoneshe njia nzuri ya ujasiriamali. waweza kuniandikia kwa healthwealthfirst@gmail.com
 
Wakubwa naombeni msaada wenu mi nna degree na nna experience ya miaka miwili kama loan officer,naomba mwenye kuweza kunisaidia jinsi ya kupata kazi. shukrani.
Graca hapo ulipopatia uzoefu wamekufukuza? au kwa nini unatafuta kazi?
 
Last edited by a moderator:
Graca hapo ulipopatia uzoefu wamekufukuza? au kwa nini unatafuta kazi?

sijafukuzwa, am still working there ila nataka more challenging job especially ambayo ni ya profession niliyosomea chuo.
 
sijafukuzwa, am still working there ila nataka more challenging job especially ambayo ni ya profession niliyosomea chuo.
Graca umesema unataka kazi inayoendana na kozi uliyosoma chuoni lakini hujasema chuoni umesoma degree ya kitu gani. Ungeweka taarifa inayojitosheleza hata na mkoa ulipo sasa na mikoa ambayo uko tayari kwenda kufanya kazi ungesaidika zaidi
 
Last edited by a moderator:
Graca umesema unataka kazi inayoendana na kozi uliyosoma chuoni lakini hujasema chuoni umesoma degree ya kitu gani. Ungeweka taarifa inayojitosheleza hata na mkoa ulipo sasa na mikoa ambayo uko tayari kwenda kufanya kazi ungesaidika zaidi

Nimegraduate sua kozi Home Economics and Human Nutrition. nipo dar.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…