habari zenu wanajamii...me ni msichana mwenye umri wa miaka 25 nimegraduate bachelor of business adminstration last year! natafuta kazi katka mkoa wowote hapa tz! nawezafanya kazi ktk depatment zifuatazo; human resource,marketing,accounting and finance! pia naweza kufanya customer care na kazi yoyte inyoendana na nlichosomea! nisaidien jamani maisha ni magumu! na mliopata kazi tayari msitusahau wenzenu! ahsanten
Usijali mama utapata ajira tu,we mtangulize mungu kwa kila kitu,maana wanaotaka ajira ni wengi mno,so only God can make wonders to u!
Usikate tamaa.
Kwa sasa, tafuta eneo lolote hata kama kwa kujitolea ili upate uzoefu kwani waajiri wengi wanataka uzoefu licha ya taaluma uliyonayo dada. Siku njema
mkiambiwa chukueni Education mnaona ni uchuro,ona wenzio tumeshaanza kuponda hela za JK,Haina shida we kuwa na subira utapata tu!
subiri zamu yako ya kulia inakuja na hyo faculty ulichukua!!naamini utarudi kama huyu!si bora nikawe hata mgambo wa jiji kuliko kuwa ticha.
ahsante ila nimejaribu kupeleka barua pamoja na cv ktk kampuni zaidi ya 3 kwaajili ya kuomba kujitolea kufanyanao kazi bila malipo yoyote yoyote lkn pia wamenijibu hawana nafasi na barua wamenijibu kwa njia ya posta..
habari zenu wanajamii...me ni msichana mwenye umri wa miaka 25 nimegraduate bachelor of business adminstration last year! natafuta kazi katka mkoa wowote hapa tz! nawezafanya kazi ktk depatment zifuatazo; human resource,marketing,accounting and finance! pia naweza kufanya customer care na kazi yoyte inyoendana na nlichosomea! nisaidien jamani maisha ni magumu! na mliopata kazi tayari msitusahau wenzenu! ahsanten
pole mwaya...kazi zipo na utapata tu..this might help 1.peleka cv na vyet pale FINCA mwembechai..awa jamaa wanaajir kila cku 2.Advans bank tanzania naskia wanafungua matawi mapya so wanaitaj watu..so wacheki kwny site yao 3. kama una gpa nzur kaombe kufundisha. cku izi kuna business colleges nyingi watakupa ata part time..4. funga na umuombe Mungu upate kaz..n don give up