Looking for Lending investor in my Limited Company at Morogoro.

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Dear Member hi!

Naomba nitumie lugha yetu nadhifu kuelezea hitaji langu.

Mimi ni.mkurugenzi wa kampuni ambayo ni Limited Campany ambayo makao makuu yake yapo Morogoro

Niliifungua kampuni kwa malengo mbali mbali ikiwepo lengo la kuja kufanya biashara ya lendingi ingawa kama inavyo julikana Limited company inavitu vingi vya kufanya.

Ndani ya kipindi cha miaka miwil tangu nimeifungua nilikuwa nikiangaika kupata mtaji wa lending bahat mbaya sifanikiwa

Sasa nikaona kwa nini napoteza muda?kwa nini nistafute wawekezaji ambao tutaingia makubliano mazuri yenye maslai kwa pande zote na tukapiga kazi?

Rejea kauli za wahenga kidore kimoja hakivunji chawa.

Tafadhali kama upo tayar nipm tuzungumze zaid.

KARBUNI.
 
Manaake unamanisha micro finance instution debt and credit facility au?
 
Dear Member hi!

Naomba nitumie lugha yetu nadhifu kuelezea hitaji langu.

Mimi ni.mkurugenzi wa kampuni ambayo ni Limited Campany ambayo makao makuu yake yapo Morogoro

Niliifungua kampuni kwa malengo mbali mbali ikiwepo lengo la kuja kufanya biashara ya lendingi ingawa kama inavyo julikana Limited company inavitu vingi vya kufanya.

Ndani ya kipindi cha miaka miwil tangu nimeifungua nilikuwa nikiangaika kupata mtaji wa lending bahat mbaya sifanikiwa

Sasa nikaona kwa nini napoteza muda?kwa nini nistafute wawekezaji ambao tutaingia makubliano mazuri yenye maslai kwa pande zote na tukapiga kazi?

Rejea kauli za wahenga kidore kimoja hakivunji chawa.

Tafadhali kama upo tayar nipm tuzungumze zaid.

KARBUNI.
BoT inahitaji uwe na Bank capita ya 500m kama security kukupa leseni ya kufungua micro finance......hiyo ni hela nyingi wakati kukusanya faida ni mbidde sana wakopaji sio wazuri sana
 
Em acha uongo, sipendi kabisa watu wanaoandika mambo ya kusimuliwa. Leseni yake inatolewa wizara ya viwanda na biashara na sio BOT. Mleta maada, nakutakia kila la kheri mkuu. Hiyo ni biashara nzuri yenye faida japo jiandae kugombana na watu wanaopenda kukopa lakini hawapendi kulipa
 
Dear Member hi!
Naomba nitumie lugha yetu nadhifu kuelezea hitaji langu.
Mimi ni.mkurugenzi wa kampuni ambayo ni Limited Campany ambayo makao makuu yake yapo Morogoro
Niliifungua kampuni kwa malengo mbali mbali ikiwepo lengo la kuja kufanya biashara ya lendingi ingawa kama inavyo julikana Limited company inavitu vingi vya kufanya.
Ndani ya kipindi cha miaka miwil tangu nimeifungua nilikuwa nikiangaika kupata mtaji wa lending bahat mbaya sifanikiwa
Sasa nikaona kwa nini napoteza muda?kwa nini nistafute wawekezaji ambao tutaingia makubliano mazuri yenye maslai kwa pande zote na tukapiga kazi?
Rejea kauli za wahenga kidore kimoja hakivunji chawa.
Tafadhali kama upo tayar nipm tuzungumze zaid.
KARBUNI.

Nicheki inbox tuongee, am also into that kind of business .
 
Back
Top Bottom