QueenQueen
Member
- Oct 6, 2011
- 26
- 17
nakubali kusoma hujui ila hata picha ya mgomea unashindwa kuitambua?
wewe 35 unataka finencial stable mkaka wa ova 35 utampata wapi??
mimi nakushauri ubadilishe tittle uweke:NAITAJI WA KUNIZALISHA
Watu wanolewa hata wakiwa in their 40s inategemea ulivyopangiwa na Mungu.
yaani wewe ndo maana haujapata mpaka sasa,kama wewe unazo siutuzitumie na hakuna haja ya kuolewa,yaani umenikera sana hata km nilikuwa nahitaji kuoa nadhani wewe ni miongoni mwa wanawake ambao ningewaepuka kabisa na wengi wamekuepukaMimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
170cm ni urefu wa nini?
Ana maaana yake....coz urefu una mahusiano sana na ukubwa wa "babu"...., I thnk anataka mtu ALIYEJAAALIWA KIDOGO.....!
natamani niktandike makofi ... huyo partner utampataje wakati hata kujieleza huwezi???? kwa nini umfikirie mwenzako kwa vigezo wakati wewe huwezi kuelezea vigezo kwa upande wako??? jembe la jirani kwa nini ulimie wakati lako hata kulishika huwezi??
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
nakubali kusoma hujui ila hata picha ya mgomea unashindwa kuitambua?
wewe 35 unataka finencial stable mkaka wa ova 35 utampata wapi??
mimi nakushauri ubadilishe tittle uweke:NAITAJI WA KUNIZALISHA
Usiwajali wanaokutupia maneno yakejeli kwani maneno yao ni kama maji ya moto hayachomi nyumba,afadhali wewe umesema unamtaka wako mwenyewe wengine wanasema sijui rafiki yangu mara jirani,utampata mwenye kheir na wewe mtangulize Mungu na atakujalia utampata mwenye kukujali anaekuheshimu na kukupenda kwa dhati.....
Watu mnauwa!!!!nakubali kusoma hujui ila hata picha ya mgomea unashindwa kuitambua?
wewe 35 unataka finencial stable mkaka wa ova 35 utampata wapi??
mimi nakushauri ubadilishe tittle uweke:NAITAJI WA KUNIZALISHA