Ni Dm kama upo serious tu tafadhali. Lengo ni mahusiano yatayopelekea ndoa, kwa hiyo nahitaji mtu aliye na uhitaji
Mm ni jinsia ME,
Umri wangu miaka 30, mrefu sio sana mwembamba. Elimu yangu ni Shahada. Ni mjasiliamali tu sina ajira ya taaluma.
Ni mkazi wa Mwanza
Mwenza ninaemhitaji
Awe na umri usiopungua miaka 24 na usiozidi 32
Awe na hofu ya Mungu
Asiwe muongo muongo
Awe mwenye kujiheshimu
Akiwa kanda ya ziwa itapendeza zaidi
naomba anitext DM au email
babalvin1993@gmail.com