Natumaini hamjambo wapendwa wanajamvi..mie ni kijana wa early 30s niko Arusha, mwajiriwa wa kipato cha kati, mkristu.
Natafuta mwandani wa ubani mwenye kujitambua, ideally please be:
1. 20-29 years old,
2. in Arusha au uwe tayari kuhamia itakavyokupendezea
3. sio mnene
4. si mpenda-makuu na mkweli
5. mwenye staha na msafi
6. and most importantly, be normal.
Mwanadada mwenye matazimio kama yangu anitumie msg na tutawasiliana zaidi kutokea hapo.
Please, no games