Hello my felloe JF Members,
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,elimu ya shahada ya kwanza,na mwajiriwa,Career-wise iam doing ok, but i think it's about time to meet with my future wife
I would like her awe na umri kuanzia 30-35,awe mrefu,mwili wa wastani,rangi yoyote,akiwa na mtoto mmoja itapendeza zaid,mkristo.
Kama una vigezo hivyo vya awali frrl free to PM me