Looking for partners

Looking for partners

Ludger

Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
24
Reaction score
4
Habari wana jamii.
Moyo Business Networking and Info-Consult Tunatarajia kufanya workshop katika vyuo vikuu kadhaa hapa nchini kuanzia mwishoni mwa mwezi March. Tumepanga kuanza na SUA ambapo tutaalika vyuo vyote Morogoro. Workshop zitabeba theme "CARRIAR DEVELOPMENT". Tunahitaji partners watakao tuwezesha kufanikisha workshop zetu. Partners watanufaika kwa kuweza kujitangaza na kutangaza bidhaa zao katika matangazo na watapewa AIR TIME siku za workshop. Kama kuna mtu, Shirika au Kampuni waweza fanya mawasiliano ili kwa makubaliano ya awali.

Kwa mawasiliano zaidi 0715 545485 au 0683671941 email mbunifu13@gmail.com
 
Back
Top Bottom