Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Hyo ni kanuni ya kisanii.maana hata ukijumlisha hizo AFFORD TO LOOSE.mzigo unakuwa mkubwa vile vileBet what you can afford to loose, mbona kanuni ipo wazi shehe
Hivi gambling na betting ni kitu kimoja?Kilichonikuta kwenye Betting nitakuja kusema siku nikilewa! Vijana tutafute mbinu nyingine ya kuwekeza lakini siyo Betting, huu mchezo hauwezi kukutoa kwenye umasikini kama tunavyodhani.
Ni bora ufungue kibanda uza chochote Kwa mtaji wako mdogo au nunua bidhaa tembeza mtaani utambulia chochote kuliko hii kitu ya Gambling.
Waliobuni betting, walihakikisha wanaweka misingi ambayo itakufanya upoteze kikubwa kuliko na unachopata(hii ni kwa majority).Hyo ni kanuni ya kisanii.maana hata ukijumlisha hizo AFFORD TO LOOSE.mzigo unakuwa mkubwa vile vile
Si ni kama hela unazoenda kunywa bia tu mzee, ofcoz betting sio ajira na wala huwez kuifanya kama sehem ya kukupatia kipato rasmi. Bet for fun tu bro wengine betting ndo starehe yetuHyo ni kanuni ya kisanii.maana hata ukijumlisha hizo AFFORD TO LOOSE.mzigo unakuwa mkubwa vile vile
sitoacha kubeti mpaka nakufa kifo kibaya mkuufor me jamii forum is for fun and being stupid at times. but I will share you my bet history. for people who don't count there losses
I start beting last year and wasted too much money and time. results shows.
I only won 129,574 /= I spent way more than this.
so betting can't be a job. I can't be the source of income. it's a game like every other game. odds are against you.
find a better source of income. stop when you can.
thank you.View attachment 2947679View attachment 2947680View attachment 2947681View attachment 2947682
ππsitoacha kubeti mpaka nakufa kifo kibaya mkuu
All of what you have pointed out is true, at least, except when you wrote 'there money' instead of 'their money'. Thank you though for the piece of advice.for me jamii forum is for fun and being stupid at times. but I will share you my bet history. for people who don't count there losses
I start beting last year and wasted too much money and time. results shows.
I only won 129,574 /= I spent way more than this.
so betting can't be a job. I can't be the source of income. it's a game like every other game. odds are against you.
find a better source of income. stop when you can.
thank you.View attachment 2947679View attachment 2947680View attachment 2947681View attachment 2947682
π π SenseiHiyo 'loose ticket' naifutaga
i accepted this. i do bet in occasions nowYour story resonates with me. I remember losing more than I expected and realizing that I couldn't keep treating it like a job. The key is to stop before it becomes a bigger problem and find other ways to make money that are more stable.