A Abdul mdachi Member Joined Nov 9, 2014 Posts 46 Reaction score 2 Apr 7, 2015 #1 Jina langu naitwa Abdul, ni muhitimu wa kidato cha sita, nimepata nafasi ya kwenda kusoma nchini India ila tatizo wazazi wangu hawana uwezo wa kunisomesha, niko hapa nahitaji msaada ili niendelee na masomo. Namba yangu ni 0712389866
Jina langu naitwa Abdul, ni muhitimu wa kidato cha sita, nimepata nafasi ya kwenda kusoma nchini India ila tatizo wazazi wangu hawana uwezo wa kunisomesha, niko hapa nahitaji msaada ili niendelee na masomo. Namba yangu ni 0712389866
J jangala1 Member Joined Mar 6, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Apr 8, 2015 #2 hiyo nafasi umeipataje mzee .?