Looking for sponsor,this special for Kenya's in nairobi

Looking for sponsor,this special for Kenya's in nairobi

Baba, Nairobi shamba la mawe bana. Ukidhani wewe ndo utavuna kile ambacho hukupanda, utastuka sana kupata hata shamba lenyewe walishalihamisha.
 
Eh xmas imekaribia au siyo? Kweli shughuli
 
Baba, Nairobi shamba la mawe bana. Ukidhani wewe ndo utavuna kile ambacho hukupanda, utastuka sana kupata hata shamba lenyewe walishalihamisha.
kuelimisha jamii ni wajibu wangu.unaweza ukasoma ujumbe ukawa umetoka kapa,usielewe kinachoongelewa ndani,ni kitu gani,na kinafananaje,na masoko yake kweli yapo,na kama yapo,yapo wapi,na taratibu zao zikoje na ukishajua hilo,ndio ujue kunichozungumzwa kweli kipo?na kama kweli kipo,kina thamani gani kwa thamani ya hayo masoko.lakini ukiwa mwepesi tu wa kuongea bila research,ndio utakuwa hivyo wakati wote,na elimu Siku zote haiwafuati wajuaji.so kia jambo unalodhani unalielewa,ni kweli unalielewa.haipo hivyo.
 
Back
Top Bottom