kuelimisha jamii ni wajibu wangu.unaweza ukasoma ujumbe ukawa umetoka kapa,usielewe kinachoongelewa ndani,ni kitu gani,na kinafananaje,na masoko yake kweli yapo,na kama yapo,yapo wapi,na taratibu zao zikoje na ukishajua hilo,ndio ujue kunichozungumzwa kweli kipo?na kama kweli kipo,kina thamani gani kwa thamani ya hayo masoko.lakini ukiwa mwepesi tu wa kuongea bila research,ndio utakuwa hivyo wakati wote,na elimu Siku zote haiwafuati wajuaji.so kia jambo unalodhani unalielewa,ni kweli unalielewa.haipo hivyo.