Pius Mbwilo
New Member
- Oct 6, 2008
- 1
- 0
Hii pius je wewe ni ndugu wa s mbwilo ? Usalama k ??
Umeanza eeh?
Hii pius je wewe ni ndugu wa s mbwilo ? Usalama k ??
Nawasalimu wanamichakato, tafadhali kama kuna watanzania wanaoishi Providence, Rhode Island ningefurahi kufahamu kwani mimi naishi katika hii city.
Nawatakia Pilika njema za wiki,
I will be back,
Mbwilo