Ninatafuta mwalimu wa grade 2 & 3 kwa ajili ya kufundisha tuition kwa watoto wa grade 2 na grade 3.
preferably awe female,mwenye fluency katika lugha ya kiswahili na kiingereza. Kuzungumza lugha nyingine kama kifaransa ni added advantage. Masomo ya kufundisha ni hesabu, sayansi, kiswahili, kiingereza,kifaransa na jiografia. Muda wa mafunzo ni siku 3 kwa wiki, kuanzia saa 10 hadi saa 12. Malipo nj maelewano. SylBus ni ya cambridge
Samahani, hizo grade 2 & 3 ni ngazi waliopo wanafunzi watarajiwa wa mwalimu anayetafutwa. Mwalimu huyo akiwa wa ngazi ya diploma, degreemitakuwa vizuri zaidiHiyo grade 2 na 3 ndo walimu wa namna gani? Mi najua mwalimu mwenye cheti, stashahada na shahada, naomba kuelimishwa plz!
Samahani, hizo grade 2 & 3 ni ngazi waliopo wanafunzi watarajiwa wa mwalimu anayetafutwa. Mwalimu huyo akiwa wa ngazi ya diploma, degreemitakuwa vizuri zaidi