kufanya hivyo ni uhalifu na hata ukitumiwa habari hizo kuna njia ya kublock email inayokuletea habari hizo au njia ya kujiondoa kama ni mailing list that all simple -- usiandike tu kwa sababu umejisikia kuandika andika vya maana na vinavyojenga usigeuze hii ni blogu yako ya jamii ambayo unaandika chochote