Ragnar Lothbrok
Member
- Apr 3, 2022
- 14
- 8
Thread closed[emoji23]
Nakuja pm mkuu
Nenda mama ubavu wako huoThread closed[emoji23]
Nakuja pm mkuu
Please tunaweza kuwasilianaHabari za Majukumu,
Nahitaji mwanamke alie serious tufahamiane tukiridhiana tabia awe mke.
1. Awe Mkristo na Mcha Mungu
2. Awe muajiriwa au mwenye shughuli zake binafsi
3. Umri 28-30
Sifa zangu
1. Mkristo RC
2. Miaka 32
3. Nimeajiliwa ktk taasisi binafsi
Mengine tutafahamiana zaidi baadae.