eburtm Member Joined Oct 19, 2011 Posts 98 Reaction score 28 Apr 28, 2013 #1 Nimekuwa busy kutafuta elimu na future life. Nadhani kwa sasa inatosha kuanza maisha na mwenzangu. Nipo pande za Asia naomba yeyote aliye tayari kuishi nami, picha muhimu. Natarajia kurudi Tanzania June kwamiezi miwili.
Nimekuwa busy kutafuta elimu na future life. Nadhani kwa sasa inatosha kuanza maisha na mwenzangu. Nipo pande za Asia naomba yeyote aliye tayari kuishi nami, picha muhimu. Natarajia kurudi Tanzania June kwamiezi miwili.
Swts JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 3,062 Reaction score 1,294 Apr 28, 2013 #2 Mzee wa Asia wapi mbona we hujamwaga vigezo... economically..umrically...mapenzically..elimcally! Bana em funguka.. tuanze pm meeen..
Mzee wa Asia wapi mbona we hujamwaga vigezo... economically..umrically...mapenzically..elimcally! Bana em funguka.. tuanze pm meeen..