Bibie niunganishie basi, usisahau kumwambia mimi ni mlokole hadi wakati mwingine najikuta nasonga ugali kwa kutumia msalaba[emoji40] [emoji125]safi sana mdg wangu !kwa kabila hapo napigia chapuo !soon utaolewa
HahaaaaaaBibie niunganishie basi, usisahau kumwambia mimi ni mlokole hadi wakati mwingine najikuta nasonga ugali kwa kutumia msalaba[emoji40] [emoji125]
Usicheke bibie, hata nikijikwaa lazima nimshukuru Mungu, huyu binti nitamfaa sana.Hahaaaaaa
Dadaake Bashite amepaza kilio cha kutafuta storongo ya kudumu...safi sana mdg wangu !kwa kabila hapo napigia chapuo !soon utaolewa
Dadaake Bashite amepaza kilio cha kutafuta storongo ya kudumu...
Nachowapendea walokole, kabla hujaingiza storongo kwenye kikojoleo chake lazima kwanza mfanye sala ya toba...
kWAIYO WAKIJA WALIO SERIOUS WATANO, unawachuka wote..!Habarini wanajukwaa,
Kwa mara ya kwanza nakuja jukwaani apa, natafuta mwanaume ambae atakuja kua mchumba na baadae ndoa, Mungu akijalia, nimepitia mirejesho mingi wapo walifanikiwa humu juwaani.
Mimi ni msichana nina miaka 24, nimuajiriwa sekta binafsi Iringa, Msukuma kwa kabila na ni mkristo ninaemcha Mungu sana. Nahitaji mwanaume umri kuanzia 27-32 awe mkristo, mpentekoste atapatakipaumbele zaidi.
Aliepo tayari karibu PM.
Kama haupo serious please usijisumbue kabisa na kupoteza mda wako.
Nadhani mnakuwa mmepiga magoti mkinena kwa lugha...ahahha hv muda huo huwa mic umeshika au mpo kwenye nguo bado?
Nadhani mnakuwa mmepiga magoti mkinena kwa lugha...