Resistance ilikuwepo wkt unaiingiza?
Alikuwa amefungua miguu yote vya kutosha?
Maana unaweza kukutana na resistance, ikawa ni kwa kubanwa na misuli ya mapaja, na sio hymen.
Ukiperforate hymen( iwe ni annular type, septate au cribriform), lazima bleeding itokee pale pale.
Km hymen ilitoka siku nyingi, hakuna bleeding, ila njia bado inakuwa ndogo sana, resistance kwenye introitus itakuwepo, na ni zoezi gumu sana kuitoa hymen, wala sio la kufurahisha, linachosha.