Hivi huyu Lord eyes ndio alikua anatokaga na Ray C enzi hizo
Source mkuu, isije kuwa unamzushia eyez mnako.
Huyo huyo wala hujamfananishaa!!!!
jana nimeiskia You heard clouds hii kitu huyo dada anaelezea
Hata mimi niliskiza ila issue inakuja kuhusu kufukuzwa weusi.
Alipanda sasa anashuka kurudi juu ngumu
Alipanda sasa anashuka kurudi juu ngumu
malpo duniani.alichomfanyia ray c kwa kwel...afungwe tu na huko weusi afadhali tu walvomtimuwa coz nawapenda weusi.hawanaga sscandal za kis*nge.alianza kupoteana tangu yupo kwenye mahusiano na ray c back in days na ndio yeye aliyemfundisha ray c kutumia madawa ya kulevya!
Hivi huyu Lord eyes ndio alikua anatokaga na Ray C enzi hizo
sio kutoka tu.. na madawa ya kulewesha pia alimfunza kuyatumia..
btw, weusi ni kampuni ya nini?
Ulikuwepo kipindi eyez akimfundisha ray c kutumia kiariri?.. ray c ndio aliemfundisha eyez kutumia madawa(cocktail/crack). Eyez alikuwa anatumia bangi tuu. Hiyo poda ray c alianza kutumia kenya ndio akaanza kutumia na eyez kwa ku mix na poda...kipindi ray c ana kaduka cha nguo morroco(karibu na best bite) ndio eyez akawa anabembea kwenye gar ya huyo dada kama mjinga flan..
sio kutoka tu.. na madawa ya kulewesha pia alimfunza kuyatumia..
btw, weusi ni kampuni ya nini?
acha masiala excel weusi ni kundi la muziki kutoka jijini arusha lord eyez alikuwemo pia katika kundi!