Lord Eyes amefukuzwa kwenye kundi la Weusi

Huyu mnako alishapoteaga kitambo toka wamtimue ibra da hustle. Ile skendo ya omy dimpoz alisema kaonewa,sasa na hii vipi? Ahsante weusi kwa kumtimua lord eyes. Mliobaki mnatosha
 

Bro uko sahihi sana mana watu wanamsema Lord eyes bila kujua ukweli halisi
 
Msimuhukumu,hizo ni tuhuma tuu na bado upelelezi unaendelea.Tukio analotuhumiwa nalo lilitokea kwa God nanenane njiro.
 
Bora Lodiii arudi AKBOA watampokea huku anapotea!!! Au sukuma ka Bou Nako mbona analisongesha??? Dah Nigger Bronx ndo wanapotea hivi!!
 

Wamchukue Ibra kuziba nafac...
 
Haya majizi tu muziki ni kichaka cha kujifichia wakitukwapulia ma laptonga yetu
 

Hajafukuzwa bali amesimamishwa
 
weweee,
exclude marijuana hapo, it is a plant sio drug, a good plant
 

sio kweli,
ukweli ni huyu mjamaa ndiye alikuwa mwalimu wa ngada kwa mdada na mdada pa1 na yeye wote wamekiri hili
 
Wakuombewa huyo sijui Lord Eyez.
 
eyes wa wazii..simuogopi mtu ila namuogoa mola...MACHIZI HIP HOP R&B NI NANI...KUSNEY BABU CHII AKAE OLLOOO AVUTE TERI ZA MIANZINI
 
Mnako hajafukuzwa kundini acheni mboyoyo mingi weusi wako bega kwa bega kumsaidia mwenzao,alafu mnampa kesi ya kumfundisha ngada Ray C kivipi tena wkt bibie alimtaja mtu mwingine wa Kenya ndo alimfundisha.
 
Weusi watakuwa ni watu wa ajabu sana kama wataamua kumfukuza au kama wamemfukuza,kwani wanashindwa nini kumsaidia mwanao kama kapotea!

Wangemsimamisha tu kujiusisha na kundi kwasasa huku wakifanya jitihada za kumsaidia mchizi

Ngada noma bab alikula mdogo wangu kidogo nidate,na akaja home akakomba vitu kibao vya thamani akasepa nikamsaka nikampata nikaenda kumtibia mpaka akapona na sahivi anaendelea na chuo fresh tu,,huyo pusha aliyemfundisha hata nisahau milele

Weusi msaidieni mshikaji wenu....namkubali sana Lord Eyes ana-flow moja ya kibabe sana!
 
Mnako hajafukuzwa kundini acheni mboyoyo mingi weusi wako bega kwa bega kumsaidia mwenzao,alafu mnampa kesi ya kumfundisha ngada Ray C kivipi tena wkt bibie alimtaja mtu mwingine wa Kenya ndo alimfundisha.

Dah!,kama ni kweli itakuwa "vibe" sana aisee!
 
Mi nafaham Ray c kaanza madawa ya kulevya hata kabla ya kua Eyes alikua anatafuta huruma ya watu kwa kisingizio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…