Lord have mercy upon me ila huu ndio ukweli wangu, nikiona watu wazima wanaenda Msikitini au Kanisani huwaga ninawadharau sana

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Kwa sababu nakuwa naona kama hawajielewi vile.

Naona kwenda kanisani au msikitini ni Mambo ya kitoto kitoto.

Ndio maana siku hizi nimeamua kuwa introvert kwa sababu huwa nakuwa so much annoyed kukaa karibu na watu.

Unakuta jitu zima in his 50s linaongea kuhusu eti adhabu ya Kaburi na moto wa jehanamu.

Yani naona kama limekatwa kichwa vile.

Hivi kweli Mungu huyu huyu kabisa kabisa alie umba jua mwezi, sayari na galaxy zote, akuumbe wewe mwanadamu akulete duniani kukupa eti mitihani ili baadae ukifeli aende akakuchome milele?

Ndio mmemshusha Mungu kiasi hiki kweli?

Mungu anaweza kufanya mission ya kitoto namna hiyo?


God doesn't do stupid missions ndugu zangu stukeni...


Na hayo ndio madhara ya kumjua Mungu kupitia vitabu vilivyo tungwa na watu.


You can only know God through observation.

You can know the artist by studying his art.

Unaweza kumjua Mungu ni nani kwa kuusoma uumbaji wake.

N. B: ILA KABIASHARA KA DINI NI KA BIASHARA KAZURI NYIE. WALIO KAANZISHA WALIKUWA VERY SMART. YANI NAKUUZIA BIDHAA ( PEPO) ILA. UTAENDA KUTHIBITISHA UFANISI WA BIDHAA HIYO SIKU UTAKAYO KUFA DAH...
 
Astaghfirullah
 
Mungu mwenye upendo

Mambo ya walawi 25:
44 Tena katika habari za watumwa wako na wajakazi wako, utakaokuwa nao; mataifa walio kando-kando yenu, katika hao mtanunua watumwa na wajakazi.
45 Tena katika wana wa wageni wakaao kati yenu mtajinunulia, na katika jamaa zao walio pamoja nanyi, waliowazaa katika nchi yenu; wao watakuwa milki yenu.
46 Nanyi mtawafanya kuwa urithi kwa watoto wenu baada yenu, wawe milki yao; siku zote mtatwaa watumwa wenu katika hao; lakini msitawale kwa nguvu juu ya ndugu zenu, hao wana wa Israeli, wenyewe kwa wenyewe.
 
Me sio Atheist mkuu. Naamini Mungu yupo ila mafundisho ya dini ndio silubaliani nayo
Mtu kama wewe ni rahisi kuelewa Biblia. Mhubiri 9:5 Walio hai wanajua watakufa, lakini walikufa Hawajui Jambo lolote.
 
So ufanye madhambi bila ya malipo hayo?
Nope sitendi mema kwa sababu ya kuogopa Jehanamu kama wewe. Natenda mema kwa sababu nina utu ndani yangu. I don't need to go to the church or mosque for me to do the good things
 
Acha kufata mkumbo.
That must be an illness , hata yeye tunamdharau kushinda Jf kuandika nyuzi kama hizi maana ni dalili kubwa ya mtu kuteseka.

Mimi mbona sipo pamoja na Wagalatia lakini kiimani na mambo mengi tu , lakini hauwezi kukuta nateseka nao kiasi cha kuacha muda wangu muhimu kuhangaika Jf kuanzisha nyuzi za uchokozi na kuwapopoa Wagalatia , that's is wastage of time and childish.

That's is very poor for him.......
 
Watumwa tena?

Haya bana
 
Ni jambo la kutafakari sana kuona Aston Villa ikicheza robo fainali za UEFA wakati Man United haijawahi kushiriki hata kwenye hatua ya mtoano tangu kuondoka kwa Sir Alex Ferguson
 
Inashangaza sana
 
Kuna msemo unasema "Funika kombe mwanaharamu apite"

Kuna vitu kwenye maisha mtu inabidi uvichukulie kama wengine kuepuka Changamoto zinazoepukika.

Hususani vile vinavyo fungamana na Imani. kuna vichaa wanajiita wao Wana itikadi Kali

Binafsi ningeambiwa nichague wanavyo viamini na amapiano, ningesema amapiano Wana man kimyakimya .
 
Hahahaha

U kweli unabaki palepale mkuu.

Kwenda kanisani na msikitini ni Mambo ya kitoto.

Vinginevyo niambie kwanini huwa unaenda msikitini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…