Lord rahul coool/zoomshare

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2007
Posts
1,407
Reaction score
161
Nasumbuliwa na huyu virus pamija na autorun kwenye computer zangu nimejaribu kumtoa kwa kila njia imeshindikana,natumia Antivirus ya Avast version 5 na huwa nai-update kila siku nime scan safemode lakini wapi,Pia kwenye Floppy Disk driver za Computer zangu mbili zina fanya kazi pasipo kuweka Diskette na hii imejitokeza baada ya kupata hawa virus kupitia njia ya flash.

Msaada wenu tafadhali kwa anaye jua namna ya kumtoa hawa virus?
 
Kumbe ni virus?
Mi nnae siku mingi na nishamzowea sana!
 
Kumbe ni virus?
Mi nnae siku mingi na nishamzowea sana!

Ni virus Mkuu ambaye anasumbua sana kwenye Browser ya Internet Explorer, ina badlisha hadi home page yako inajiweka Zoomshare.
 
Ni virus Mkuu ambaye anasumbua sana kwenye Browser ya Internet Explorer, ina badlisha hadi home page yako inajiweka Zoomshare.

Tumia Browsswe ya Firefox au ya Chrome iliytengenzwa na Google. Nadhani usumbufu wa virus utapungua. kuna watu wanatafuta ajira kwa billgates kwa lazima .Njia waliyoamua kumuonyeshea huwezo wao kwa kutengeza virusi mbuzi

Infact mm kwangu nime disable kabisa IE sababu hata kaa huitumii huwa ina run background . so the best way ni kustopisha service za zake .

vile vile nilisave solution ya mtaalamu 1ja alipendekeza ufanya kati ya haya yafuatayo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…