Mtu unaiba tipa lote hilo, likipata hata pancha unalikimbia.Wakinga banaa, Au kaiba kabla ya kuandaa location au kulengesha mteja?
Halafu unaiba njombe unaenda ruvuma?
Ukute pengine alikua anavusha mzigo wa magendo, jumba zima likamuangukia.
Nakumbuka kuna jamaa aliiba Semi, kufika njiani Mteja hafiki bei akalikimbia.
Watu wabaya sana. Utakuta aliahidiwa akilifikisha sehemu anapewa chake na kupotea, bahati mbaya ndio hivyo tena🤣🤣Lori aina ya Howo, Tiper lenye namba za usajili T 459 EBX, mali ya kampuni ya CRCG inayojishughulisha na uchimbaji wa makaa ya mawe, lenye thamani ya Tsh. Mil. 150/=, lililoibiwa mkoani Ruvuma, limepatikana katika Kata ya Ramadhan iliyopo mkoani Njombe.
Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Mkoa wa Ruvuma ACP Marco Chilya, amesema tayari wamemkamata Dereva wa lori hilo, ambaye pia alihusika na wizi huo, na kwamba upelelezi umekamilika na atafikishwa mahakamani kesho Juni 16, 2023.
View attachment 2659251
Huyu kazidi, sasa dubwasha kubwa hivyo alitaka akalifiche wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanabadilisha Nini Sasa?Wakinga banaa, Au kaiba kabla ya kuandaa location au kulengesha mteja?
Halafu unaiba njombe unaenda ruvuma?
Ukute pengine alikua anavusha mzigo wa magendo, jumba zima likamuangukia.
Nakumbuka kuna jamaa aliiba Semi, kufika njiani Mteja hafiki bei akalikimbia.
Haha alipaswa aroge kwanza ili huko njiani lionekane kama kundi la nyuki linapita kumbe ndio anayeya hivyo🤣🤣🤣Huyo hakuroga
Ukiwa na njaa mda mwingne hata akili zinatoka kwanza, ukute aliwaza tuu akalipige langi nyeusi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanabadilisha Nini Sasa?