bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Vipi?Aseee
Mkuu inatembea hii au iko mapumziko? mkao wake sijauelewa hata kidogo.Location: Arusha
Bei:40m (negotiable)
View attachment 836461View attachment 836463View attachment 836464View attachment 836465View attachment 836466
Inapiga kazi hatariMkuu inatembea hii au iko mapumziko? mkao wake sijauelewa hata kidogo.
Kama anaweza kubebea mchanga au kokoto na coaster sawa agizaDuh! Unauza BP kwa 40M!
Kwa hela hii ni bora mtu aagize Coaster mpya yenye uhakika wa kuingiza laki kwa siku!