Lorraine Marriot ni nani?

Lorraine Marriot ni nani?

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,072
Kwa sasa naambiwa yuko Las Vegas Marekani akiiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya dunia ya Miss Universe - 2015.

Wenye kumjua zaidi naomba mfunguke tumfahamu. Kwa sasa, nimepata kujua taarifa hizi chache kuhusu yeye;

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • Screenshot from 2015-12-18 18:46:24.png
    Screenshot from 2015-12-18 18:46:24.png
    21.4 KB · Views: 2,451
  • photographer_uploaded_1_79_0_1449785611_2015 (1).jpg
    photographer_uploaded_1_79_0_1449785611_2015 (1).jpg
    18.4 KB · Views: 2,470
I don't wanna know much but all I know is, she is gorgeous and so far she is doing very good in the competition. I love her
All the best BLACK BARBIE
 
I just love the girl, nimejikuta tu. Naamini atafanya vizuri; sababu anayo, nia anayo na uwezo anao pia

Daddy Kaboom huyu mtoto hujamuona kweli. atoto ukuje huku
 
Last edited by a moderator:
yaan anajua lugha kingereza ana shindwa kujua lugha ya kikwao.
 
I just love the girl, nimejikuta tu. Naamini atafanya vizuri; sababu anayo, nia anayo na uwezo anao pia

Daddy Kaboom huyu mtoto hujamuona kweli. atoto ukuje huku

Alikuwa akiishi Tanzania?! Kuna mdau amesema eti hajui Kiswahili, ni kweli?!
 
Sasa mpenzi ndio kumuita na dady yako kweli si kunitoa roho huko?? Mbona hupendi maendeleo yangu lkn?
The girl is sooooo...... aisee i wish her best of luck.
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa akiishi Tanzania?! Kuna mdau amesema eti hajui Kiswahili, ni kweli?!
Mmh hilo la kutojua Kiswahili sina uhakika. Ila Inawezekana labda akawa anajua zaidi kiingereza kuliko Kiswahili, kutokana na life style yake maybe
 
Sasa mpenzi ndio kumuita na dady yako kweli si kunitoa roho huko?? Mbona hupendi maendeleo yangu lkn?
The girl is sooooo...... aisee i wish her best of luck.
Hahaha yani she is effortlessly beautiful. Ila kamati ya miss universe naona kama wanajitahidigi sana kujipanga.
Teh wewe usiogope competition, unadhani daddy haoni watoto wazuri barabarani?
 
Mmh hilo la kutojua Kiswahili sina uhakika. Ila Inawezekana labda akawa anajua zaidi kiingereza kuliko Kiswahili, kutokana na life style yake maybe

Kwenye CV yake ameandika Kiswahili na Kiingereza kuwa ndizo lugha anazozimudu. Kuna mwenye video clip yake akiwa anaongea Kiswahili aziweke hapa?

Au swali lingine, Je alikuwa akiishi wapi Tz na anajishughulisha na mishe gani mbali na urembo!?
 
Kwenye Wikipedia wamesema anaishi Dar, anafanya kazi as pilot na business woman. Nafikiri anajua kiswazi bana
 
Nimecheki Youtube kutafuta baadhi ya Clips zake yeye kama yeye nimeikosa. Nimekuta Clips zinazoonyesha contestants wa Miss Universe 2015, na nimeshangaa kuona kati ya warembo wote ni yeye pekee zimewekwa picha zake tu badala ya footages kama wenzie..

Ninachojiuliza; Ina maana hakuandaliwa vya kutosha? Mbona wenzake ukitafuta data zao unazipata in abundance?!

Waratibu waliangalia hilo. Linaweza kumnyima ushindi!
 
Mtafute Maria Sarungi Tesha ndio anawajua sana hao na yupo huko marekani kwa sasa.
 
Kwenye Wikipedia wamesema anaishi Dar, anafanya kazi as pilot na business woman. Nafikiri anajua kiswazi bana

Anafanya kazi as a pilot au ana ndoto za kuwa pilot?!

Zzzzzzz!

Unajua huyu binti namfananisha na msichana fulani hivi alikuwa mchepuko wa brother wangu miaka ya 2008, ndio maana nauliza maswali mengi nijue kama ni yeye au laaa.

Ninayemjua mimi hakuwa na jina hilo, lakini nakumbuka alisomea pale UDSM na kupata kazi Shirika moja hivi linahusiana na masuala ya Nishati Mbadala (Alternate Energy).

Enzi hizo bro anaishi Mbezi ya Kimara...
 
Ni pilot according to Wikipedia

Lorraine ana miaka 19-20. Possibly huu ndo umri wa watu wengi kuwa chuo. Kwa hiyo 2008 alikuwa na miaka 12-13, Sidhani kama ndo alikuwa anadate na kaka ako kwa muda huo
 
Anafanya kazi as a pilot au ana ndoto za kuwa pilot?!

Zzzzzzz!

Unajua huyu binti namfananisha na msichana fulani hivi alikuwa mchepuko wa brother wangu miaka ya 2008, ndio maana nauliza maswali mengi nijue kama ni yeye au laaa.

Ninayemjua mimi hakuwa na jina hilo, lakini nakumbuka alisomea pale UDSM na kupata kazi Shirika moja hivi linahusiana na masuala ya Nishati Mbadala (Alternate Energy).

Enzi hizo bro anaishi Mbezi ya Kimara...

Nnahisi utakuwa umekosea maana huyu Miss hata miaka 23 kama sikosei hajafika so ukiongelea 2008 enzi hizo atakuwa alikuwa high school kama sikosei
 
Back
Top Bottom