Nimemuona Douta..Anavutia na kushawishi..Ngoja tuone kesho itakuwaje..Hope atafanya poa
Mmh hilo la kutojua Kiswahili sina uhakika. Ila Inawezekana labda akawa anajua zaidi kiingereza kuliko Kiswahili, kutokana na life style yake maybeAlikuwa akiishi Tanzania?! Kuna mdau amesema eti hajui Kiswahili, ni kweli?!
Hahaha yani she is effortlessly beautiful. Ila kamati ya miss universe naona kama wanajitahidigi sana kujipanga.Sasa mpenzi ndio kumuita na dady yako kweli si kunitoa roho huko?? Mbona hupendi maendeleo yangu lkn?
The girl is sooooo...... aisee i wish her best of luck.
Mmh hilo la kutojua Kiswahili sina uhakika. Ila Inawezekana labda akawa anajua zaidi kiingereza kuliko Kiswahili, kutokana na life style yake maybe
Kwenye Wikipedia wamesema anaishi Dar, anafanya kazi as pilot na business woman. Nafikiri anajua kiswazi banaKwenye CV yake ameandika Kiswahili na Kiingereza kuwa ndizo lugha anazozimudu. Kuna mwenye video clip yake akiwa anaongea Kiswahili aziweke hapa?
Au swali lingine, Je alikuwa akiishi wapi Tz na anajishughulisha na mishe gani mbali na urembo!?
Kwenye Wikipedia wamesema anaishi Dar, anafanya kazi as pilot na business woman. Nafikiri anajua kiswazi bana
Ni pilot according to WikipediaAnafanya kazi as a pilot au ana ndoto za kuwa pilot?!
Zzzzzzz!
Unajua huyu binti namfananisha na msichana fulani hivi alikuwa mchepuko wa brother wangu miaka ya 2008, ndio maana nauliza maswali mengi nijue kama ni yeye au laaa.
Ninayemjua mimi hakuwa na jina hilo, lakini nakumbuka alisomea pale UDSM na kupata kazi Shirika moja hivi linahusiana na masuala ya Nishati Mbadala (Alternate Energy).
Enzi hizo bro anaishi Mbezi ya Kimara...
Anafanya kazi as a pilot au ana ndoto za kuwa pilot?!