pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Don't be bitter man, just follow the colour codes and say wooooow! like you are back in nursery school and having a blast while finger painting a demented giraffe.Admired brand? Seriously? Even before 2021 most of the current routes r disbanded!
ATCL is barely mentioned in Tanzagiza...Leave us to our own devices, hapana ingia mkutano was mnanda Kama huna ng'ombe. Hapa KQ na ET ni ligi kubwa labda muote. Betri mlipata zingine baada ya kuibiwa??no way you can compare KQ to ethiopian airline, KQ is underdog
ATCL is barely mentioned in Tanzagiza...Leave us to our own devices, hapana ingia mkutano was mnanda Kama huna ng'ombe. Hapa KQ na ET ni ligi kubwa labda muote. Betri mlipata zingine baada ya kuibiwa??
.....na ATCL wana ndege hamsini. Ila hawatui nje ya bara hili, wala hawatajwi popote isipokuwa kwenye orodha ya mashirika ya ndege yanayopaka ndege zake rangi ya nyumba. [emoji38] Huwa napenda kuwaona mkijiliwaza na kujipa moyo. KQ wanaoperate ndege 40, hilo halina ubishi. Alafu wana'lease' ndege 20, hilo nalo lipo wazi. Swali langu ni, kama wanamiliki ndege tatu tu hizo zingine 17 zimetoka wapi? [emoji15] (20marks)Ligi kubwa na ndege 3