Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Oct 2, 2023 #1 Kuna mdau humu alipendekeza kuwepo ukurasa maaulumu kwaajili ya kutangaza vilivyopotea na kupatikana au kupotea jumla Nimeona hili tangazo huko huenda ukurasa huo ungekuwepo ungesaidia wengi hapa
Kuna mdau humu alipendekeza kuwepo ukurasa maaulumu kwaajili ya kutangaza vilivyopotea na kupatikana au kupotea jumla Nimeona hili tangazo huko huenda ukurasa huo ungekuwepo ungesaidia wengi hapa