Lost hope to farmers in Chemba, Kondoa Districts

Mvua za masika zinatarajiwa kuanza mwezi huu wiki ya pili Hadi mwezi mei wiki ya pili. TMA.

Hao nadhani ni wale wanaolima Msimu wa mvua za vuli ambazo ndio hutumika kwa kilimo mikoa ya Kanda ya kati, ukanda wa bonde la ufa, Kanda ya ziwa, sehemu za Rombo na kazkazini milima ya upare.
 
Asante kwa Taarifa ya Matarajio ya mvua. Hao ni wakulima wazoefu katika ukanda huo na wengi kwa uzoefu hupanda mahindi Desemba/Januari na hukomaa April/May ila ukweli mvua za mwaka huu zimewapiga chenga; may be ni matokeo ya Mabadiliko ya Tabianchi.
 
Siyo Kwa Mwanza lakn maana huku tunavuna mahindi na tunatarajia kupanda mengine mvua zikinyesha mwezi huu.
 
Siyo Kwa Mwanza lakn maana huku tunavuna mahindi na tunatarajia kupanda mengine mvua zikinyesha mwezi huu.
Hongera zenu - Mumshukuruni Mungu. Sisi huku ndo ivo tena tumeyainua macho yetu kutazama huko juu mbinguni kwa matarajio na matumaini huenda kukatokea badiliko -ila mwezi ndo umeshaandama cjui ngoma itakuwaje.
 
Uko wapi?
 
Very sad indeed, Yani Hali ya hewa this year isn't good at all
 
Poleni Sana kiujumla Hali siyo zuri japo Mwanza mahindi wamevuna na Geita pia
Ona Hali sio nzuri kabisa -Tunaisubiri mvua labda tutaambulia chochote.
Inatisha aisee.
 
Hizi mada za kiingereza ndiyo sijawahi taka zinipite hata kidogo ,na mimi nichangie sasa .

Yes ,it is danger definetely
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] safi japo watu wa grammar wangesema sentensi iwe na neno terrible badala ya danger.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…