hahhahhaha
hii forum ina vituko sana
Pole sana mkubwa ila nimejikuata nacheka sana baada ya kusoma post yako.
Kwa nini usiweke kwenye matangazo madogo madogo.
Narudia kukupa Pole lakini huo ni uzembe unampa mu lifti usiyemjua
- Je umeripoti polisi?
hahhahhaha
hii forum ina vituko sana
Pole sana mkubwa ila nimejikuata nacheka sana baada ya kusoma post yako.
Kwa nini usiweke kwenye matangazo madogo madogo.
- Je umeripoti polisi?
Narudia kukupa Pole lakini huo ni uzembe unampa mu lifti usiyemjua
Mkuu pole sana, Mkoa gani?Wana jf
juzi nilimpa mtu lift ktk gari, akanichapa laptop, yaani aliitoa katika begi akachikichia, sasa najua inaweza ikaangukia kwa yeyote, naomba ukiiona in toshiba t2550, serial number 76033856q ni pm, ninachohitaji ni data za hiyo laptop, nikiweza pata hata hard disk tu, nitashukuru, ni pm , na nitakujulisha namna ya mimi kuwasiliana na wewe, please be sure ninachohitaji ni data na si kingine, zawadi nitatoa, nzuri tuuuu.
Please heeeelp
nipo dar, jamaa alishukia maeneo ya vinguguti nilikuwa natokea airportMkuu pole sana, Mkoa gani?
Kuwakomesha hawa wezi ni kma gari yako ni 5 doors basi ile milango ya seat ya katikati unaipiga child lock - haitafunguka kutokea ndani; halafu unapandisha vioo kiasi kwamba hawezi kutoa mkono kwa nje na kufungua mlango - baada ya kupandisha kioo/ vioo unavipiga lock na vyenyewe kwa kutumia master power window. Halafu unatumia rear view mirror mara kwa mara ili kuona nini kinaendelea hapo nyuma yako. Toa lifti kwa unayemjua tu, usiyemjua big no - awe mwanamke, mwanaume, mtoto, mzee ni NO. akitaka lifti asubiri aombe kwenye msafara wa JK.
mkuu jamani tuwe huruma na wenzetu tujaribu kuchukuliana hilo jambo linampata yeyeto me niliwakuchukuliwa cm na mtu ninayemfahamu na nilimpa lift natupanae kwenye gari ila alizima ckuweza kumsachi.
mkuu pole sana natumaini taarifa zimefika kama ilikuwa na password lazima itatembea kwa mafundi utapewa taarifa
Drphone unaona nimempa pole lakini pamoja na kuumpa pole ni ukweli kuna % ya uzembe.
Tatizo kwanza unampa mtu lifti usiyemjua
Pili Risk kubwa zaidi una kitu cha thamani na kinabeka kirahisi.
Mja jaribu kufanya hivi
Kuna jamaa mwananyamala yeye ulikuwa ukiibiwa kitu cha electronic ukienda kwake unakipata u unapta taarifa kiko wapi. Lakini sababu hiyo imeibiwa vingunti sidhani kama inaweza kufmfikia huyo jamaa. Na huyo jamaa sijui kama bado yupo.
Kama una rafiki na polisi jaribu kuepeleza maeneo ya vinguti mtu anayeuza vitu vya wizi. Usiende polisi kiofisi. tafuta mshikaji anayemjua polisi mitaa hiyo.
nikweli kabisa kunapolice wanajua vbaka wote
Sioo tu vibaka hata watu ambao sio vibka lakini wanauziwa vitu na vibaka.
naunga mkono hoja mkuu nilishapata msaada wa aina hyo one day shemeji yangu aliingizwa mjini na wale matapeli wa almasi na wakamla 1.5m lakini tulizipata bila msaada wa police
dr. Upo sawa kwel huko polis nikutoa repot tu. Tena bahati mbaya hiyo ishu imetokea dar labda afadhar ingekuwa huku kwetu kahama mji ni mdogo.Yah kuripoti polisi nimuhimu lakini ni formality tu . Hakuna cha zaidi watakachofanya. Sana sana wakipata taarifa unakuwa umewasaidia kujua wamtafute nani walambe 10% yao.
Hope mja atafanikiwa kujua japo hiyo laptop itakuwa inacheza anga gani za dar
mie ndugu yangu mja, Laptop simu nikiwa alone kwenye gari no lift, no nini...maana watu siku hizi wanalipa hadi intrance fee ya airport na wanaingia na mabeg utadhani wameingia nchini toka safari, wanakuja kwako eti wanataka lift halafu ndani ya hilo bag mkuu hamna kitu......