Lost/nimesahau my password i am now like new

Joined
Jun 22, 2013
Posts
21
Reaction score
6
Wadau mimi ni mtumiaji wa mda mrefu wa Jamii forum ila nilisahau kidogo namba za siri za kuingilia na nimejaribu all means nikajichanganya nikaenda kurequest for new password bila kujua email niliyotumia kipindi hicho(nilifunguliwa na mdada wa internet cafee) nayo nilishasahau password yake mda mrefu hivyo nimeshindwa kuendelea na account yangu nikalazimika kufungua mpya.

NA HAPA NIPO NAOMBA MSAADA KWA NYIE WENYE UWELEDI WA KU-HACK EMAILS NIWEZE KUFUNGUA EMAIL YANGU NIENDELEZE ID YANGU KWANI NI FEDHEHA KUONEKANA NAJIUNGA JAMII FORUM LEO WAKATI NI MTANDAO WA KIJAMII WENYE MANUFAA MENGI NA HUWA NAWASHANGAA SANA AMBAO HAWAJAJIUNGA AU NDO WANAJIUNGA SASA IVI HUWA NAJIULIZA WALIKUWA WAPI.
 
Karibu tena JF...

ID yako ya mwanzo ni ipi?
 
Wasiliana na wakuu wa JF kama Invisible wanaweza kukusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…