Lotion gani nzuri za kupaka sehemu zenye joto?

Lotion gani nzuri za kupaka sehemu zenye joto?

omary khamis

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
402
Reaction score
77
Kwa anaefaham lotion nzuuri ya kijipakaa sehem zenye joto manake zingine daa zinaongeza joto na jasho jingi
 
Mbona ID yako haiendani na mwandiko wako??

Omary Khamis na lotion wapi na wapi??? Afu Omary wa wapi anamalizia sentensi na neno "jamani"???

Nifundishe na mimi kugungua chapu nisipoteze muda.
 
Back
Top Bottom