Lotion isiyokuwa na harufu wala kemikali

Lotion isiyokuwa na harufu wala kemikali

nyange__

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2020
Posts
225
Reaction score
688
Habari wana JF kuna lotion zisizo na kemikali/ harufu?

Msaada
 
The only thing that has no chemical is pure water....hata ugal una chemical zisizo halibu
 
Ponda maparachichi .. au jipake samli...
Mbona wasukuma wanapaka samli na wanangoz kavu tu....tatzo la watu mmekarr chemical ni ile ya kiwandan..kumbe hata naturals things zna chemicals....Kwan chemicals zinatoka WAP so kwenye mimea na madini au,
 
Back
Top Bottom