Lotion kwa Uso wenye mafuta mengi

Credere Potest

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2016
Posts
217
Reaction score
298
Wakuu habari ya mda huu! Naombeni msaada wenu kwa yeyote anayefahamu Lotion ipi nzuri uso wenye mafuta mengi na Sehemu yenye baridi? Maana nimekuja mkoa wenye baridi sana sasa wakati nipo Dar nilikuwa situmii mafuta ya aina yoyote usoni sababu uso wenyewe nikitembea juani mafuta hatari sasa huku nilipo sababu ya baridi nisipopaka kitu usoni uso unakuwa kama unajikunyata hivi.....nisaidieni kwa hilo! Natanguliza shukrani zangu
 



Karibu hizi set zinasaidia kuondoa mafuta usoni.. Ukihitaji wasiliana nami kwa simu namba 0672416294
 
Tafuta Mafuta ya black seed oil. Hutajuta.
 
wewe ni ke au me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…